Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
kwa mfano una huduma ya internet cafe ambayo pia huduma ya wireless ipo.sasa nitafanyaje kila mteja anayetaka kutumia huduma hiyo atumie password ya kwake na isifanane na mwingine?? kuna software au utaalam wa kugenerate multiple password ambazo zote zitafanya kazi kwa network moja..na password moja ikishatumika na mteja mmoja isitumike tena kwa mwingine