Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 641
Naombeni kujua jamani..hawa jamaa wa Smart wana vifurushi vyao vya internet vinanishawishi sana kujiunga nao,japo sijui wanapatikana wapi..lakini swali ni je,hivi hii unlimited yao ni unlimited kweli au ni unlimited kama ya voda? Maana voda ukijiunga na unlimited ya siku theoretically unatapata 700MB kwa unlimited speed,ingawa hata hivyo naona siku hizi hata 200MB hazifiki..
Halafu,mbona hawaoneshi coverage yao hapa tz ni sehemu gani na gani? Wanasema tu kwamba ikiwa upo sehemu ambayo huwapati eti uwapigie simu uwambie!! Sasa haya masikhara,ina maana hawajui ni wapi na wapi hawajafika?!