How to unbrick android phone

Manlevi

Member
Jan 27, 2012
56
19
wakuu habari yenu! Mimi nna tecno H6 operating system ilimisbehave ikastuck nkaizima simu nilipoiwasha ikawa inaishia kwenye logo ya tecno alafu inajizima na kujiwasha inaendelea hivyo. Nilijaribu kuireset kupitia recovery mode ikagoma kibaya sikuenable usb debugging, so ilibakia option ya kuflash tu na nilitumia sp flash tool. Ilipomaliza process mpaka mwisho yaan ndo tatizo kama limeongezeka vile coz now haiwaki kabisa wala haichaji. Na nkiiconnect kwenye pc kwa usb cable inachukua muda kudetect then it keeps on connecting and disconnecting. WENYE UTAALAMU NAOMBENI MSAADA NIFIX SIMU YANGU. THANKS IN ADVANCE.
 
Try using ODIN. Weka simu in download mode, then flash recent firmware via Odin. Kama ikikubali cz Odin tends to be picky.
 
Yes, unaweza tumia odin for chineese phones. It's a flash tool just like SP Flash tool.
 
Odin ni kwa techno ??? Mkuu acha masihara.

Na baada ya ku criticize my suggestion (which mind you it was a simple suggestion) labda ungemsaidia kwa kumueleza atumie nini instead of Odin!!
 
Na baada ya ku criticize my suggestion (which mind you it was a simple suggestion) labda ungemsaidia kwa kumueleza atumie nini instead of Odin!!
sija criticize nime kuuliza ,anyway angeweza jaribu wiselink tool pia..okey kam Odin nayo ni njia basi ajaribu..
 
sija criticize nime kuuliza ,anyway angeweza jaribu wiselink tool pia..okey kam Odin nayo ni njia basi ajaribu..

Odin ni njia, lakini baada ya kusoma kidogo (Cz sijui chochote on Tecno phones) wengi walishauri kutimia SP flash tool. It's a trial and error thing. Ajaribu hataikiwezekana zote, itakayo kubali basi heri kwake.
 
thank kcamp,nimejaribu kiutafuta Odin, but ni kama ni for samsung phones
 
Hapo haitawaka tena mpaka upate simu kama hiyo then ntakuelekeza kucopy firmware na kuweka kwako
 
Mm naogopa sana kutumia sp tool sababu sababu wengi wameua simu zao kwa kuflash na sp tool na sp tool ukishaformat firmware ikagoma kuingia inakua dead na huwezi kupata solution online so jaribu kutafuta tecno kama hiyo h6 yaan muombe mtu mara moja copy firmware weka kwako
 
asante pia..... but utapaste kwa kutumia flash tool ipi.....?
 
Hiyo firmware ya h6 umepata wap maana inatakiwa simu ya h6 amabayo ni nzima inawaka ndo uweke kwako
 
Back
Top Bottom