jay_samuel_dunstan
Member
- Aug 6, 2014
- 39
- 3
Guyz anaombeni mnisaidie mm nipo interested sana nakujifunza Programming and ninandoto kubwa sana ya kujakuwa Programmer in future ningependa sana kuja kuiishi hyo ndoto yangu Ila kwasasa ninashida Moja tuu cjui nianzie wapi ili niwezekufanikisha malengo yangu cjui nianzekusoma nn or vitabugani as a beginner ili niwezekufikia malengo yangu, kama ww ni programmer plz namba unipe muongozo ili niweze kuanza safari ya kufikia ndoto yangu hii Tafadhali sana.