Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi

Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi

kupe

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
1,036
Reaction score
330
Whatsapp yangu imegoma kufanyakazi . Nikijaribu kuifungua inaniletea ujumbe huu your phone number is no longer allowed to use our service. Anayefahamu zaidi tafadhari
 
Mkuu
Toa Maelezo Kwa Kina Unatumia Simu Gani Na Tatizo Limeanza Lini?
 
Mkuu natumia blackberry 9220. Tatizo limeanza kama siku 4 . Nika uninstall . Then nika install upya lakini wananiletea ujumbe huo huo . Yaani nimeinstall imekubali lakini nikiingiza namba yangu wananiletea ujumbe huo
 
Ngoja Waje Watumia Simu Kama Yako Ila Msaada Utapata Wa Kuondoa Tatizo Lako
 
Pia nilijaribu kwa kubadili simu . Tatizo liko pale pale
 
jarbu kutumia namba nyingne afu utujuze. Asante
 
je ina kuambia hivi ... your phone is no longer allowed to use
our service. au your phone
number is no longer allowed to use
our service. kupe
 
Last edited by a moderator:
Ur number is no longer to use our service. Nikibadili number nyingine inakubali
 
Fanya yafuatayo, angalia kama namba yako ilisajiliwa, Angalia namba yako je ipo online kwa cm nyingine?pia unaweza kuwapigia kwa msaada zaidi
 
hiyo namba unayoitumia sio ile ya kichina? ile ya VOXOX? inaanza +1 ?...
 
Kaishitaki police
itakuaje igome bila kukupa taarifa
 
Kama unatumia kifurushi cha chuo wakati wewe sio mwanafunzi, tegemea tatizo kubwa kuliko hilo, inaweza ikazima kabisa
 
Back
Top Bottom