Wapi mtaalamu wa windows phone Bagamoyo?

Wapi mtaalamu wa windows phone Bagamoyo?

uroto

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2015
Posts
447
Reaction score
233
naitaji ku update nokia lumia 610,mwenye uwezo huo anisaidie tafadhali nahtaj window 8.1

asanten
 
Fuata njia hizi:
- Nenda kwenye settings
- Scroll hadi kwenye phone update
- Bofya kwenye "search for updates"

Angalizo:
1. Hakikisha simu yako imejaa chaji, au ichomeke kwenye chaji mda unapofanya update
2. Tumia Wi-Fi wakati wa kufanya update ili kupakua hizo files mpya. Unaweza kupata Wi-Fi kwa kutumia simu ya rafiki yako, unganisha kwa "tethering", hope hiyo itakusaidia...
 
asante mkuu
 
Back
Top Bottom