Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,570
- 8,328
Wataalam, nimeunga kimita cha kusoma unit ninazotumia kama unavyoona kwenye picha, wire mwekundu mkono wa kulia unaingiza umeme kwenye mita, huo hizo nyekundu zinazofuatia zilizobebanishwa zinatoa umeme kwenye mita, wire mweusi unaofuata baada nyekundu unaingiza umeme kwenye mita, na hizo nyeusi za mwisho zilizobebanishwa zinatoa umeme kwenye mita.
Je nimepatia?
Je nimepatia?
