Voda internet imekua kimeo jioni

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,404
3,245
Wakuu hivi ni kwangu tu au kwa wote tunaoishi mitaa ya Tabata Mawenzi?

Kila ikifika kuanzia saa moja jioni hadi usiku wa manane net inakua kimeo yaani hata kufungua google search kwa simu ni shida........ Very slow
Lakini asubuhi na mchana na stream youtube kama kawa

Natumia kifurushi cha unlimited cha buku na kinakuwa bado hata hakijamaliza mb700
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom