Naombeni msaada wa keys za adobe CS6.

Naombeni msaada wa keys za adobe CS6.

Emelamu Junia

Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
32
Reaction score
9
Waungwana Wa JF nimejarbu mdaa mrefu saana kutafuta key za ku activate CS6 nimeshindwa.. Naomben msaada mwenyewenazo au hata link nidownload mwenyewe.. Itakuwa poa tu.
 
Waungwana Wa JF nimejarbu mdaa mrefu saana kutafuta key za ku activate CS6 nimeshindwa.. Naomben msaada mwenyewenazo au hata link nidownload mwenyewe.. Itakuwa poa tu.
Ndugu Emelamu Junia, hiyo topic ilishaongelewa, uwe unatafuta kabla ya kuanzisha thread mpya.

Pitia hapa>>>
  • Hatua ya kwanza: Download hiyo attached file
  • Hatua ya Pili: Extract hiyo file kwa kutumia winrar au 7zip
  • Hatua ya Tatu: Chagua version ya adode utumiayo.
  • Hatua ya Nne: Bofya PATCH
  • fEEDBACK please.
6x0Sya
 
Last edited by a moderator:
@ dreamchaser asante saana nimejifunza kitu. Ngoja jisome maelekezo..thanx alot
 
Guys nimehangaika saana lakin still adobe inanimbia 4days left. 😢
 
Back
Top Bottom