Habari zenu,
Natafuta games za Xbox 360, hasa za Action Adventure kama GTA 4, GTA 5, Max Payne 3, Hitman Absolution, Watch Dogs n.k.
Kama kuna yeyote anazo, tuongee.
Alex Fourie iFix (South Africa)
Alex Fourie has started several businesses. Many of them never took off, but he struck gold with his company iFix. When Alex was told his iPhone could...
Kuna simu ys IDEOS GOOGLE HUAWEI ilikuwa formated sasa whatsapp ikiwa installed inaleta message error retrieving information from server (rpc;s-7;aec-7 nj763-5yso-ebvd6), naomba msaada wa utatuzi...
Habari nina recever mediacom 9400 plus tatizo sauti kukata kata lakini picha zinakuwa nzuri ila ni sauti tu.je kwa anaetumia hii recoder naomba kujua yeye upande wake
Nataka kufanya hiki kitu lakini kabla sijafanya nikaona nije kwenu kwanza wajuzi.
Nikichukua solar panel ya watt 45 nikaweka juani then nikaiunga hadi kwenye betri LA GARI la volt 24 ( N120 )...
Kupitia uzi huu tujadiliane kuhusu operating system ya android. Jinsi ya kuboresha simu zetu.za android, tuulizane maswali wenye majibu walete. Tuambiane app nzuri na mambo kedekede kuhusu android
Salamu wana JF kwa majukumu , poleni na kazi
Karibuni nataka kushare nanyi hii trick ambayo ukifuatilia kwa makini utaweza kuunlock RAR/ZIP password ..kitu nilichokipenda hapa huitaji kuwa na...
naomba ushauri wakuu,nipo morogoro nataka kununua zuku au dstv,naomba ushauri wenu ipi ni rahisi kwenye gharama,manunuzi,na kulipia kila mwezi? Naje kuhusu chanel zake?
Habari JF,
Kwa wanafunzi, wakufunzi, wanataaluma na wapenda knowledge wote.
Mtandao mpya TaalumaForums | Fikra huru - Home (Academic and social discussions) umeanzishwa.
TaalumaForums ni...
Habari wanajamvi.
Kuna hii Application inayoitwa whatsapp plus, inafanya kazi sawa na whatsapp messanger tofauti yake ina vitu vingi vya ziada jinsi walivyoikastomaizd, natamani sana kuwa nayo...
Hii browser ni nzuri, ila kwa upande inasumbua kwenye ishu ya ads, yani kila nikiingia kwenye page ninayoitaka inanipeleka kwanza kwenye page ya ads powered by cinema, mpaka niclick tena leave...
Habari zenu Wana jf
Naomba tujuzane hv ni kwa nn simu nyingi za smartphone hasa hasa smartphone kuzima screan wakati wa kupiga au kupigiwa alaf kushindwa kuwaka mpaka anayeongea nae...
Habari wadau
Kwa anaefaham jins ya kuprint documents kutoka kwenye iPhone, kuna viashiria vnanionyesha hii kitu inawezekana! Lakin nashindwa kufanikisha..
Anaejua tafadhali
Natanguliza shukrani...
zaidi ya siku 5 sasa haipokei wala haitumi. Nimecheck stutas inaandika inaoperate normally. Nikai- uninstall then nikaidownlord tena ndio nikaaribu kabisa. Naabiwa ni verify namba yangu hazikubali...
Ninazo simu mbili hapa moja ni techno h6 nyngne ni Samsung Galaxy young.... Sasa nahitaji kutumia Internet ya Samsung young kwenye techno h6.... Naomben msaada jinsi ya ku connect :
Cc:Chief...