DSTV vs Zuku | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

DSTV vs Zuku

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by samilakadunda, Aug 9, 2012.

 1. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  naomba ushauri wakuu,nipo morogoro nataka kununua zuku au dstv,naomba ushauri wenu ipi ni rahisi kwenye gharama,manunuzi,na kulipia kila mwezi? Naje kuhusu chanel zake?
   
 2. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  zuku ni rahisi, dstv mwisho wa matatizo.
   
 3. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Dstv ni noma, we jipinde na dstv tu hivi ving'amuzi vingine ni michosho tu.
   
 4. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mkuu mi nimefunga dstv, naomba nielekeze jinsi ya kulipia kwa njia ya tigo pesa pls!
   
 5. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  [h=3]Tigo Pesa[/h]
  • Dial *150*01 on your mobile to access the Tigo Pesa menu
  • Select the option for Payments (4)
  • Select the option for Pay DStv (2)
  • Enter your smartcard number
  • Enter the amount you wish to pay
  • Confirm your transaction with your PIN
  • You will receive a SMS confirming the transaction and the payment will go through to DStv directly.

  Source: How do I pay my DStv Tanzania Account? - General Help
   
 6. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Thanks mkuu!
   
 7. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 3,201
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  tungekuwa wazalendo kama wengi wao hapa jamvini

  ***leo hiii serikali yetu isingeoomba madawati kwa wafafhiri***
   
 8. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nashukuru wakuu,ila bei ya dstv inatisha jamani inapanda kilakunapokucha!
   
 9. funzadume

  funzadume JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2012
  Joined: Jan 28, 2010
  Messages: 6,418
  Likes Received: 1,981
  Trophy Points: 280
  Chukua DSTV ina channel nyingi na nzuri bei sio issue kwani wameweka bei tofauti tofauti kulingana na market categories ukifulia unanunua ya elfu 20 ingawa channel ni chache na ukiwa nazo unaweka ya 120,000/=
   
 10. samilakadunda

  samilakadunda JF-Expert Member

  #10
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 1,700
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  thanks wa kuu!
   
 11. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #11
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  DStv ndo mpango mzima. mimi napenda National 1. Geographic channel, (Megastructures, Seconds from disaster, Air Crash Investigation) 2. Discovery World and much more, pia kuna channels kibao za radio kama ukichoka kuangalia screen.
   
 12. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #12
  Aug 12, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  ndio naenda kununua DSTV hivyo zomba kila sehemu upooooooooooooooooozi
   
 13. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #13
  Aug 12, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  DSTV ukilipia compact plus $ 50, unapata channel za mpira S5, S7, S9, S10, S19,S220 NA ESPN hizi zote zinaonyesha live games, na movies kibao pamoja na series
   
 14. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #14
  Aug 12, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  Mpira ni lazima? Jamaa wameishajua wabongo ni mipira tu ndio maana wanawakon'gori bei!
   
 15. g

  godwill kilangi Member

  #15
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 21, 2013
  Messages: 23
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nimena ZUKU WAMEBADILISHA MWELEKEO WA MADISHI YAO NAKUWEKA MWELEKEO KAMA WA DSTV
  KWASABU GANI WAMEFANYA IVYO?
   
 16. mceddy

  mceddy Senior Member

  #16
  May 4, 2013
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh mkali DSTV mwendo mdundo usije sita kumiliki receiver yao wao ni wa ukweeeeeeh kazi kwko tu kulipia
   
 17. Mtoto halali na hela

  Mtoto halali na hela JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2013
  Joined: Aug 10, 2012
  Messages: 19,178
  Likes Received: 2,882
  Trophy Points: 280
  Dstv so much more
   
 18. CYBERTEQ

  CYBERTEQ JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2013
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 7,451
  Likes Received: 207
  Trophy Points: 0
  Tatizo lao na hiyo compact yao wamejaza channel za sports tu; wangefanya jambo la maana kama ingekuwa mteja anaselect channel anazozitaka, mfano mimi napenda Nationa Geographic Channel, Nat Geo Wild, Adventure, World. Discovery Channel, Discovery HD, History Channel, hata wakininyima nyingine zote mimi sina tatizo, wananilazimisha nilipie michannel mia ambayo sina matumizi nayo, nazoangalia ni hizo chache tu..huu nao ni wizi!
   
 19. cheeter

  cheeter JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2013
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Mkuu angalia tuu usije ukamiliki receiver( DSTV) yao halafu ukashindwa kuilipia...ni sawa na mtu anayekimbilia Range vogue sports kwa hela alizo fluku sehemu!
   
 20. Burton86jm

  Burton86jm JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2013
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Kulinganisha DSTV na ZUKU ni kama kulinganisha KITAMBI na MIMBA,ipo juu saana(nzuri saana) DSTV
  DSTV
  *Unapo nunua mwezi kwanza unapoisha unaachiwa tv za free kama TBC,KBC,CITEN na nyingine
  *Ina Chaneli nzuri toka Tanzania kama TBC 1 na STAR TV
  *Vifurushi vyake ni kama ifuatavyo
  -ACCESS --channels zaidi ya 48 kwa TSH.17,000/=
  -FAMILY--channels zaidi ya 55 kwa Tsh.24,000/=
  -COMPACT--channels zaidi ya 64 kwa Tsh.45,000/=
  -COMPACT PLUS--channels zaidi ya 70 kwa Tsh 85,000/=
  -PREMIUM--channels zaidi ya 95 kwa Tsh.135,000/=
  #Kama upo MPANDA-KATAVI karibu Burton satellite shop 0754-83 55 43
   
Loading...