How to restore Samsung s2 via boot

How to restore Samsung s2 via boot

Nijulisheni wakuu!

zima simu kisha bonyeza volume up button + home button+power button kwa pamoja...usiachie mpka ije menyu inaitwa recovery...kisha tumia volume up kupanda juu na volume down kushuka chini na power button ku select..shuka hadi walipo andika wipe user data/factory reset kisha bonyeza power button kuselect kisha shuka hadi kwenye yes af bonyeza power button kuselect ..hapo simu itaanza kujiwipe .ikimaliza shuka hadi kwenye wipe cache napo wipe hizo cache kama hapo juu tu kisha select reboor now..hapo utakua umesha reset s2 yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom