Firewall
JF-Expert Member
- Aug 18, 2012
- 272
- 61
Habari JF,
Kwa wanafunzi, wakufunzi, wanataaluma na wapenda knowledge wote.
Mtandao mpya TaalumaForums | Fikra huru - Home (Academic and social discussions) umeanzishwa.
TaalumaForums ni mkusanyiko wa majukwaa mbalimbali ya kitaaluma na yasio ya kitaaluma. Forums hizi zina lengo la kuwakutanisha watu kifikra na kimtazamo kulingana na wanachofahamu. Kuna majukwaa (forums) Zaidi ya 15 katika nyanja tofauti tofauti za kielimu na za kijamii. TaalumaForums inalenga wanafunzi wa taasisi za elimu ya juu, wakufunzi (teachers & lecturers), wanataaluma wengine, wapenda knowledge kwa ujumla pamoja na watu wa rika zote. TaalumaForums itahusisha majadiliano mbalimbali yenye lengo la kuelimishana. Mbali na hayo kuna majukwaa mengine kwa ajili ya habari na matukio katika taasisi za elimu na kwenye jamii kwa ujumla. Peruzi au jisajili na waweza toa maoni yako kwenye uzi huu au jukwaani TaalumaForums | Fikra huru - View forum - Wasiliana nasi - Live chat
Lengo ni kua na Tanzania yenye watu wanaoweza kujitegemea kifikra, hasa vijana katika mtazamo wa kielimu na kijamii ili kutatua changamoto zinazowakabili.
TaalumaForums | Fikra huru.

Mawazo yako muhimu, Karibu
TaalumaForums | Fikra huru.