Watumiaji wa bidhaa za Apple msaada tafadhali

Watumiaji wa bidhaa za Apple msaada tafadhali

Damy Scotty

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
717
Reaction score
454
Habari wadau

Kwa anaefaham jins ya kuprint documents kutoka kwenye iPhone, kuna viashiria vnanionyesha hii kitu inawezekana! Lakin nashindwa kufanikisha..

Anaejua tafadhali

Natanguliza shukrani 👏🏿
 
Back
Top Bottom