Wataalamu, je nini kitatokea hapa?.

Wataalamu, je nini kitatokea hapa?.

Tanki

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Posts
538
Reaction score
248
Nataka kufanya hiki kitu lakini kabla sijafanya nikaona nije kwenu kwanza wajuzi.

Nikichukua solar panel ya watt 45 nikaweka juani then nikaiunga hadi kwenye betri LA GARI la volt 24 ( N120 ) kisha kutoka kwenye nikaunga invetor ndogo tu kisha nikawa natumia TV mbili za ( Inchi 21 ) kwaajili ya kuchezesha game ( play station ) je nini kitatokea. je zitaweza kufanya kazi kwa zaidi ya masaa 8?. JE betri ya gari itaweza kuchajiwa na panel. Je kuna ushauri wowote
 
Cc Transistor
 
Last edited by a moderator:
pole sana.pannel watt 45 haiwezi chaji betri kubwa kiasi hicho.Fanya yafuatayo :nunua pannel kuanzia watt 100na kuendelea ,charger control, ndipo uweze kufanya hayo.
 
Nataka kufanya hiki kitu lakini kabla sijafanya nikaona nije kwenu kwanza wajuzi.

Nikichukua solar panel ya watt 45 nikaweka juani then nikaiunga hadi kwenye betri LA GARI la volt 24 ( N120 ) kisha kutoka kwenye nikaunga invetor ndogo tu kisha nikawa natumia TV mbili za ( Inchi 21 ) kwaajili ya kuchezesha game ( play station ) je nini kitatokea. je zitaweza kufanya kazi kwa zaidi ya masaa 8?. JE betri ya gari itaweza kuchajiwa na panel. Je kuna ushauri wowote

Solar nyingi ni 12V hivyo huwezi kuchajia battery ya 24V kama kweli unayo. Weka data vizuri wataalam wakusaidie.
 
Back
Top Bottom