Msaada, Namna ya ku-root simu ya Huawei m7

Msaada, Namna ya ku-root simu ya Huawei m7

jay-millions

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
4,684
Reaction score
12,144
Naomba msaada wa namna ya ku root simu ya Huawei mate 7, pia faida na hasara za kufanya hivyo
 
Naomba msaada wa namna ya ku root simu ya Huawei mate 7, pia faida na hasara za kufanya hivyo

Watu wengi sana mna-root simu kwa sababu watu wengi wana-root. Bila hata kuwa na purpose maalum, madhara yake mnakuja kuyajua baada ya kufuta system files bila kujua na hata kubrick simu. Member mwenzetu Njunwa Wamavoko aliielezea vizuri sana hiyo ishu nzima ya rooting na akaelezea na faida zake.

Baada ya kuwa muhoga kwa siku kama Tatu hivi hatimaye nilikuweza ku-root simu yangu ya Samsung Grand quattro Hii ni Baada ya kuona sikipati ninachokitaka kwenye haya MASIMU YA "KIMASKINI" ikanibidi ku-upgrade kutoka level moja kuja nyingine.

Ndugu zanguni nilichokuja kukiona simu za Android bila ROOT ACESS ni sawa na Mwaka mzima kutonyesha ktk jamii ya wakulima huo mwaka utakuwa hauna maana tena...,Kuwa na simu ya android bila Root ni sawa na mwanamke wa kiafrika asiye zaa...jamii nyingi umuon hana maana....

Nisizunguke sana ninataka ku-share na nyie wana Tech wenzangu umuhimu ninao ufurahia nikiwa na simu ikiwa Rooted ni furaha ni raha haswa


  • Kufanya Tweaks ktk Sytem files. Kitu cha kwanza kinachoniboa ktk simu nyingi za Android ni ile shoutdown Sound,Camera sound,Low battery sound sana sana zile zinazopiga continuos sounds mpaka iwe pluged kwenye charge hii inaweza kukuuumbua kama upo kwenye mikutano ya watu na kuna ukimya
    Kitu cha kwanza baada ya ku-root simu mm nilidisable shotdown sounds na camera sounds sijajua kwa nn camera za simu nyingi zimewekewa sauti au wanataka tusipige watu picha bila notice yao?

    Ili ku-disable hizi niliingia system>media>audio>ui or notification etc hii lazima uwe ume-install ROOT EXPLORER
    mfano mm nime-rename PowerOn.ogg(music file) kuja PowerOn.ogg.bak ambayo imepoteza format yake tayari kama picha itakvyoonesha hapo chini

    Pia kwa upande wa mwingine nina TAB ya kichina ambayo ina BOOT ANIMATION yenye maneno ya kichina na huwa yani-bore nilichofanya niliingia Online nikatafuta Boot Animations nika-replace na hile iliyo ndani ya stem files lkn hii ya bootanimation inahitaji ufahamu juu ya resolution ya GAdget yako amabayo unaweza icheki kwenye GSMARENA

    sozt.png
  • Ku-block Google ads
    Kwa wale watumiaji wa Free apps lazima hii kitu imewakumba sana ma-adverts mengi sana,hii sio kwa watumiaji wa free aps zenye pro version tu bali hata some completely free apps kama Blackmart alpha ambayo imejaa ads...mm hizi huwa zinaniboa na baada ya ku-root simu niliweza kuinstall AdAway na nikazisambaratisha
    kama haujawai kuziona hizi ads emu angalia hii Picha hapa chini

    8ojr.png
  • Remove Pre-installed apps
    Kwa wale watu wa Tecno p3,n3 ambazo memory na ram zake ni ndogo hii itawafaha sana root simu zenu afu delete zile pre-installed apps mfano kuna Facebook afu labda huwa hauitumii,kuna AF market,callcare,flashare etc zinakula tu space wakati ukitaka kuweka app mpya unaambiwa Low memory tiba ya hili janga ni ku-root simu afu ukaingia system>apps afu futilia mbali hizo apps ambazo hautaki na hauwezi uninstall
  • Kutumia apps zinazoitaji root access
    kuna apps nyingi huwezi tumia kama hauja-root simu yako mfano ni Screenshot captures,VPN na Tunneling apps kwa zile simu zilizo Android chini ya version 4, na nyinginezo nyingi
    Mm natumia hii TroidVPN hauwezi itumia kufanya ICMP tunneling kula yale mambo ya yetu ya unlimited bila ku-root simu...baada ya ku-root nakula vitu vitamu kwa ICMP tunneling

    um5d.png
  • Ant-theft
    Watu wengi wanaibiwa Android phones zao na wengi hawazipati wakati mtu aliyeiba ajui hata kuweka custom rom huu ni uzembe wa hali ya juu kuibiwa simu smartphone afu usiikamate
    99% ya wezi wa simu waliokamatwa hakuna hata anayejua kufanya factory reset wala kuweka custom rom sasa iweje ushindwe kukamata simu yako
    Ukiweka Lock kwa anti-theft hujue huyo mtu hataweza hata kufanya Factory rest kwa shutdown+volume up+home wala hata kuizima hawezi na hapa naongelea avast anti-theft
    Avast anti-theft ni kati ya app nilizozikubali yaani hata ukifanya factory rest vipi hauwezi kuichomoa inaweza kuwa bypassed tu kwa custom ROM lkn mtu kama ni mshamba ushamdaka tayari

    omi1.png
  • Custom roms
    Nasubiri subiri simu nichoke hii STOCK ROM ya samsung niliyokuta ili niweke ROM mpya
    Hii sijawai ifanya na hope itakuwa first time kwangu kwa hili dili na ntafurahi nikipata ROM ya new android version Kitkat 4.4


Hayo ndo yangu kwa leo wengine wataalamu wa Android karibuni mtushirikishe tufunguane macho na hizi Android sytem Kumbuka kuwa....

SHARING IS CARING:clap2:
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru sana wadau nmeroot simu yangu, nimeinstall hi fonts naona simu kama imekuwa mpya kabisa
 
Nashukuru sana wadau nmeroot simu yangu, nimeinstall hi fonts naona simu kama imekuwa mpya kabisa
Kwa kutumia app ya ifont ungeweza kuchange fonts bila hata kufanya rooting, maana huawei inatumia EmotionUI na Hifont inasupport EmotionUI, bila hata rooting
 
Kwa kutumia app ya ifont ungeweza kuchange fonts bila hata kufanya rooting, maana huawei inatumia EmotionUI na Hifont inasupport EmotionUI, bila hata rooting

Hizo Hifont na ifont zinabadili font za sehemu yinngine lakini hazibadili font iliyopo kwenye theme.
 
Back
Top Bottom