Msaada hii keyboard ya sansung

Msaada hii keyboard ya sansung

Kaputupu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,486
Reaction score
1,179
Wataalamu wa it... kuna samsung moja ninayo naona inaleta vitu sielewi yaaani almost siku tatu sasa...
Nikiwa natype ipo vizuri tuuu bt kana nikikoseaa kutype kitu nikisema nifute herufi L na ile ← ya kufuta zinajichanganya..
Point yangu hapa sio kwamba niki type L inakuja ← au nikitype ← inakuja L..
My point is naweza nikawa nafuta ← nilichikosea bt ukastuck fulani hivi thn inafuta au inaonekana hiyoo L..

Mm nihisi maybe screen protector haijakaa pouwa...
Coz nimewekaaa juzi na hii ishu ineanza juzi hiyoo hiyoo.. na hii simu haijawahi dondoka..
Msaada wenu Chief-Mkwawa kcamp
 
Attachments

  • 1441354954654.jpg
    1441354954654.jpg
    30.2 KB · Views: 103
Last edited by a moderator:
Jaribu kutoa hyo screen guard yako...inawezekana ndo tatizo boss.
 
Mkuuu kcamp hebu pitiaa hapa..
Kabla ya kutoa screen guard nimepitia baadhi ya forums nimekuta na hiyoo kitu forum mojaa... na hiloo ndo tatizo langu kama akivyoelezaa huyoo jamaaa.
 
Attachments

  • 1441357413520.jpg
    1441357413520.jpg
    55.8 KB · Views: 66
  • 1441357433037.jpg
    1441357433037.jpg
    49.2 KB · Views: 66
Last edited by a moderator:
Mkuu chief-mkwawa nimekuja kubaibi ni kweli nikiwa natumia while simu ipo kwa charge ndo inaleta hayo madudu bt nikiwa natumia while haipo kwenye charge haileti hiyoo kitu;; and natumiaa charge original ya samsung,...
 
Umejuaje kama ni original? Imekuja na simu?

Almost simu zote zinafanya hivyo zikichomekwa charger ambayo sio yake/original
 
Umejuaje kama ni original? Imekuja na simu?

Almost simu zote zinafanya hivyo zikichomekwa charger ambayo sio yake/original

Hapana mkuu,, ilikuja na samsung s4... nilinunua s4 miezi kadhaa iliyopita,, hii s3 nimenunua kwa mtu mwezi uliopita bt aliyeniuzia hakunipa na charge, so natumia charge ya s4..
 
Hapana mkuu,, ilikuja na samsung s4... nilinunua s4 miezi kadhaa iliyopita,, hii s3 nimenunua kwa mtu mwezi uliopita bt aliyeniuzia hakunipa na charge, so natumia charge ya s4..
Kuna tofauti kubwa kati ya s3 na s4.

S3 (kama sio version ya marekani) inatumia soc ya exynos wakati s4(inaternational version) ni snapdragon hivyo vitu vingi vinakuwa haviingiliani sana kama hizo charger.

Unajua charger za siku hizi ni smart ndio maana zinazingua hivyo.

Mimi kwa s3 nilikuwa natumia zile chaja za kawaida za samsung zinazofanana na za nokia zenye rangi nyeusi

37640_Samsung_ETA0U10EBE_Travel_Charger-Google_Nexus_S_I9000_Galaxy_S_01_04042012.jpg
 
Thanks mkuu ngoja nitafute hiyooo uliyonambia..
Maaana kidogo nichomoe hii screen guard nikadhani labda iliwekwa vibaya mkuu... Asante
 
Back
Top Bottom