jinsi ya kuroot tecno y3

jinsi ya kuroot tecno y3

ahsante xn mkuu......mwenye link yake anisaidie pia
 
jaribu pia kupakua supersu play stor ziende pamoja japo kuna jamaa ilimgomea pia
 
Kwangu imegoma kabisa, hata baada ya kudownload iyo supersu play stor
 
Nikiifungua tu inafunguka ivo, hapo kwenye option ya inastallation ya supersu hakuna action yoyote inayofanyika ukiclick. Any one to help please!.
 

Attachments

  • 1441340596895.jpg
    1441340596895.jpg
    15 KB · Views: 114
hebu jaribu ku download rootchecker tuone km imekuwa rooted au laa
 
Back
Top Bottom