Nimenunua tecno boomj7 jana tu ila naona inamtindo wa kupata joto wakati nikiwa naitumia hasa wakati naperuzi mitandao, kwenu wakuu wenye uzoefu zaid je Hii ni kawaida au inatatizo niirudishe dukani?
Kuwa makini usiitumie wakati iko kwenye chaji..utakulipukia hiyo
Una ushuhuda? @dupp
Download du battery itakuonesha centigrad ngapi kama ni 35-42 kawaida..Nimenunua tecno boomj7 jana tu ila naona inamtindo wa kupata joto wakati nikiwa naitumia hasa wakati naperuzi mitandao, kwenu wakuu wenye uzoefu zaid je Hii ni kawaida au inatatizo niirudishe dukani?
Download du battery itakuonesha centigrad ngapi kama ni 35-42 kawaida..
Download du battery itakuonesha centigrad ngapi kama ni 35-42 kawaida..