Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,716
- 15,538
Ha!ha! huu ujinga watu ndo wanaupenda hili Jukwaa why hatudiscuss mambo ya maana aisee kama how cyber crime ina work lakini siyo upuuzi huu kila siku cijui techno yangu imefanyaje nimejiunga na Forum mbalimbali za technology nje ya nchi kwa kweli tuko nyuma mno.