Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,270
- 29,939
Wadau Heshima kwenu
Naomben msaada wa kuhifadhi baadhi ya Data zangu kutoka kwenye simu kwenda katika Gmail
Au kama kuna mtu anajua Application yeyote ya kuhifadhi data
plz naomba mnisaidie kwa hili