Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,379
Kuroot simu ni nini? Ni kitendo cha kuruhusu mtumiaji wa smartphone ya android kupata ruksa zote kwa kufanya chochote atakacho na smartphone yake kwenye sub-sytems zake, hapa ni kwamba mtumiaji anapata ruksa ya kufnanya vitu vingi ambapo hapo zamani hakuweza kufanya ..mfano mrahisi wa simu ambayo haijawa rooted ni member wa kawaida kama mimi ambaye naweza kupost na kucomment tu humu na mfano wa simu ambayo ipo rooted ni kama administrator/moderators wa humu kama kina invisible ambao hata wana weza kufuta post zetu na kusoma inbox zetu...
Nikiroot simu nini kinafuata? ukipata root access ya simu waweza kuifanya smartphone yako iwe na sifa zaidi kama vile kuondoa pre-installed applications, kurecord video ya screen yako, kuingiza apps zinazochunguza simu yako(sms, call logs, n.k), kuongeza speed ya simu yako, kufanya automated tasks,n.k
je ntawezaje kuroot simu yangu?hakuna njia app moja inayoweza kuroot simu zote
link ya software zitazotumika https://drive.google.com/folderview...ZiVWRZaEFCOUpXSGotUURGak1WMmllcjQ&usp=sharing
kwa simu karibu za tecno zote frameroot inafa na kwa huawe kingroot itafaa
waweza kutumia frame root kama simu yako ipo hii list http://forum.xda-developers.com/apps/framaroot/framaroot-supported-devices-t2722980
wawez kutumia kingoot kama simu yako ipo kwenye hii list http://forum.xda-developers.com/showpost.php?p=60709910&postcount=2
pia waweza kutumia computer na hii njia inaroot simu nyingi sana kwa app kutumia root genius ambayoimo kwenye link nliyotoa fuata haya maelekezo hapa http://androidxda.com/download-root-genius
onyo ukiroot simu yako warranty yako inakuwa void ama bricked na mimi sitahusika kwa lolote litalotokea