DavidHard
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 436
- 286
Simu yangu ni nokia xl ila inakataa kuinstall whatsapp app.nikiidownload inakubali nikiifungua inataa kufunguka inaniandikia kuwa niunstall whatsapp nidownload tena ila nikifanya hivo tatizo linakuwa ni lile lile!tafadhali mwenye msaada anisaidie tatizo ni nini.space ipo ya kutosha nimefuta baadhi ya apps ila bado tatizo ni lile lile.