Simu ina matatzo gani?

Simu ina matatzo gani?

Marco Polo

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
13,598
Reaction score
21,813
Namtumia tecno h6 ila hili lisimu nikiongea hata dk 10 Sim inashika moto... Sometimes inabidi niweke loudspeaker.... Pia mwanzo nilikuwa naweza login TCU ama heslb na ndo Lili kuwa lengo la kununua maana kutwa ilikuwa naenda Internet Cafe cha kushangaza sasa hiv imegoma ku login..... Shida ni nn wakuu.?
 
Back
Top Bottom