Antivirus ambayo ni bora

Antivirus ambayo ni bora

Kabelwa

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
684
Reaction score
201
Wadau ninaomba kuuliza ni Antivirus ipi ni nzuri na ni bora ktk simu za android
 
achana na hizo antivirus za simu otherwise unataka feature ya anti lost unaeza tumia avg.
 
kwanini mkuu ebu toa ufafanuzi......

Swala la virus kwenye simu sio serious kama watu wanavoamini, Unavokaa unasikia android sijui inakusanya data za watu, sio virus hiyo, ni app ambayo unakuta mtu umeruhusu mwenyewe ikusanye hizo data. Mfano "Flashlight" ni app ambayo inachofanya ni kuwasha tu flash ya camera ili utumie kama torch, ila ilikua inaomba permission kuaccess hadi picha zako kitu ambacho hakina relationship na kuwasha flash, sasa blog nyingi kitu kama hicho wanakiandika kwa njia ambayo inatisha sana, watu wanaanza maneno mengi mara app store ina virusi wakati it doesn't ni uvivu wa watu tu kusoma wakiwa wanafanya installation ya apps.

Kukiwa na security risk kwenye android google wako sharp kuikamata wakati wowote na kufanya updates.
 
so mkuu kumbe huwa si virus kinacho sumbua huwa ni malware software je ni mobile security app ipi nzur kwa kuwa protected na hii kitu instead of antivirus
 
Hakuna haja ya mobile security app yoyote ile... Swala ni yeye tu kuangalia software zote adownload kutoka Play store asitoe sehemu nyingine yoyote, na pili aangalie permission anazoruhusu kwenye hizo softwares. Hizi mobile apps mtu ananunua ila mwisho wa siku hazishiki kitu chochote.. Labda app ambayo ningemshauri aweke ni app ambayo inajiingiza kwenye system ili hata mtu akiiba simu yake aka-wipe data, akabadilisha OS bado ita-trace simu yake ilipo kwa hiyo itamrahisishia kuipata ikipotea.
 
Antivirus inanafasi yake, nitasema kwanini.
Awali nilikuwa natumia antivirus lkn badae nika unistall baada ya kama week hivi simu ikaanza ku goma baadhi ya App kila ukifungua inaleta pop up kuwa unfotunalty App imestop tatizo likawa ktk app zote ikanilazimu kurudisha antivirus tena. Na ni antivirus CM Security.
 
Virus za simu zipo! Na android os inaongoza kwa virus/malware ! Usisikilize maneno ya watu,just google top 5 android antivirus apps katika trusted sites ...chagua chaguo lako.
 
CM security ni noma
 
Virus za simu zipo! Na android os inaongoza kwa virus/malware ! Usisikilize maneno ya watu,just google top 5 android antivirus apps katika trusted sites ...chagua chaguo lako.

Malware wa android unawaruhusu wenyewe hivyo ant virus haisaidii.

Unapodownload apps za android zinaomba permission (na huwezi kukataa) zinaomba zitumie vitu kama camera, mic, contact zako, sms, gallery na mambo kibao hivyo wewe unapoiruhusu itachukua na kueka inachotaka.

Just imagine malware yupo kama system apps wakati ant virus ni app ya kawaida tu, unafkiri kuna chance ya ant virus kumdaka huyo malware?

Ona kama hii app vitu inavyoomba
android-airdroid-permissions.png

So hapo mtu akituma sms kwa niaba yako ant virus itafanya nini?
 
Kwa hiyo unashauri nini mkuu chief...
 
Kuanzia android kit kat unaweza kucontroll app permission android M ndo wamerahisisha kazi kabisa
 
Yap nafahamu android m unaweza control permission ila sio zote ni chache tu. Usisahau google ni mmoja wa watu wanaofaidika na hio issue. Cheki permission za google chrome
 
Kwa hiyo unashauri nini mkuu chief...

Hapo ni kutumia akili ya kuzaliwa tu kaka, unahitaji app ya flashlight make sure inataka permission unazoona zinafaa (mfano camera) ili ipate acess ya flash. Ila app ya flashlight ikitaka sjui kusoma msg, mic, gallery nk unaachana nayo unatafuta nyengine.

Pia kusoma review kabla hujadownload kitu inasaidia. Utakuta wenzako ambao wameshaathirika wanatoa ushuhuda
 
Back
Top Bottom