Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina laki 5 sasa nataka simu inayotunza chaji walau kwa muda mrefu iwe na 4G pia maana tunakoelekea 4g ndo itakuwa inapeta. Ila pia sipendi masimu makubwa kama note 2
1 Reactions
74 Replies
11K Views
wadau naombeni msaada: nilifungua acc ya paypal sasa waliniambia watanitumia hiyo code SWALI: nitazipa kwa njia gani hizo code za kuactive playpali akaunti yangu *KAMA UJUI MTAG MTU AMBAYE...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wadau Naomba msaada wa kiushauri kuhusu tatizo lililotokea kwenye laptop yangu. Nina laptop aina ya lenovo.kwa muda kama mwezi mmoja display sijui imepatwa na matatizo gani.hili...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Nina simu nmeletewa tokea india,inaitwa micromax canvas but inatumia trademark "Android One" ni dual 3g/4g sim.Nimekuwa nikijaribu kuifanyia APN cofiguration za tigo manually nikafanikiwa kuzi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Kumekuwa na dhana tofauti tofauti juu ya tatizo hili la kuongezeka kwa bili ya umeme.Japo ongezeko la ziada la bili kubwa ya umeme lina sababu za kitaalamu nyingi...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wadau, Husika na kichwa tajwa hapo juu, nimejaribu ku unlock hiyo modem lakini sijafanikiwa, nime generate unlocking code and flashing code kupitia huawei code calculator lakini...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za kazi wakuu, ninashida ya kupata software ya ku-design kazi za umeme kama, i. Majengo marefu ii. Domestic iii. Viwandani Nimetaja kwa uchache. Unaweza kunisaidia kuipata kwenye CD au...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani hiki kidishi kinauzwaje na nitakipata sehemu gani kwa dar au mwanza na kina bei gani kama unajua weka mawasiliano
0 Reactions
2 Replies
901 Views
nimekuwa niktumia zaid magari ya ulaya yanayosoma max speed ya 260km/h kuliko ya japan ya 180km/h. je ni kweli kama magari yana engine sawa au zinazokaribiana kama cc 2500 kwa 3000 kukawepo na...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Msaada mwenye scatter file ya mt6580 naitaj nitumie kwene sp flash tool naitaj kumake my cwm for my phone tecno j5 mpya coz inazngua kutengeneza scatter file kupitia mtk droid tool. Ntumie kwa...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau nimekutana na hii kitu mtaani kwetu, hebu mwagen ubuyu nini kinaendelea hapa mjini......
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Tolea jipya kabisa la Tecno Phantom Z ni shida na hawa jamaa wanaweza fika mbali sana na hizi simu zao General Information 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900 3G Network HSDPA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hello wadau nataka kujua kuhusu namna ya kuunga hii kitu, yaani simu yangu moja inakuwa na whatsapp ambayo inakuwa connected na line mbili. Nimesikia hii kitu ipo ila aliyeniambia aliona tu kwa...
0 Reactions
32 Replies
8K Views
Wakuu natumia universal moderm ni ya airtel ila inafanya kwa simcard zote,nimeiweka kwenye computer ya WINXP automatically inaonyesha imeconnect via browser na kunipa home page ya airtel...
0 Reactions
0 Replies
916 Views
waungwana habari zenu pia poleni kwa shughuli,msaada wenu tafadhali naomba kupatiwa na kusaidiwa vyanzo vya kupata application nyingine ukitoa hii ya playstore, mfano Mimi Nina mobo market...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
hv ni ant-virus gan nzur zaid kwenye sim za android?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa mfuatiliaji wa technology mbalimbali ila nimeshinda kuelewa ile mashine ya kumgundua mtu muongo yaani lie detector inafanyaje kazi?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam, Nina saa yangu ya mkononi ya Samsung (Samsung Galaxy Gear ) ambayo niliinunua pamoja na simu yake Samsung Galaxy Note 3. Sasa hii saa (Gear ) imezimika ghafla, Nimefanya jitihada...
0 Reactions
1 Replies
787 Views
Naomba kujua; 1. android yake 2.uwezo wake wa camera, kama ina front and back camera...pia flash 3.internal storage space 4.pia comment ubora au ubaya wake +nataka nikainunue ila naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana JF, nimekutana na haya madini ila sijui ni aina gani ya madini. Wengine wanasema ni shaba not sure., Vipi thamani yake??? Naomba mwenye uelewa nayo tafadhali. .........nawasilisha......
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…