Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Waku naomba kujuzwa na hii kitu inavyo Fanya kazi mfano tazama video hii https://youtu.be/gFb7kTVDxGI kuweza kuiangalia scroll the video
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Scenario 1: Katika computer mbili ya kwanza dell mini yenye intel atom ina run windows 8 na ya pili toshiba satellite version ya zaman kidogo ina intel celeron ina run windows 7 ultimate, zote 32...
0 Reactions
1 Replies
951 Views
Naombeni mnisaidie kama kunamtu anafile ya google play service ya hiyo version ya androin au anipatie link. Plz help mi guyz
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani anafaham hiyo security key ktk Internet ya maktaba kuu anisaidie...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanaukumbi, Matumizi ya mtandao yanategemea sana browsers. Binafsi nimezoea kuzikia browsers kama Firefox, Safari, Chrome, Internet explorer nk. Nimetonywa kuwepo browser ya Warusi kwa jina la...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar za majukumu wanajamvi, Naomba mwenye nyimbo za jangalason/link zinakopatikana anipatie tafadhali. Natanguliza shukran
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakubwa wa tech, Kwa wazoefu au waliowahi kutumia projector kuonyeshea mipira na shughuli zingine, napenda kufahamu ustahimili wa vifaa hivi katika shughuli tajwa hapo juu, katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba wakuu kwa anayejua program ya kuconvert file zilizo kwenye form ya MKV kuzipeleka kwenye form nyingine kwani natumia Format factory but inafail kubadili video zilizo kwenye MKV form.
0 Reactions
2 Replies
746 Views
Heshima kwenu wana jukwaa la technolojia! Naomben mawazo yenu ya kitaalam tafadhali! Nina computer yangu ambayo ni desktop hp inakata screen yaan kipande inaonyesha na kipande kingine hakionyeshi...
0 Reactions
6 Replies
955 Views
Msaada waungwana, Galaxy yangu haitumi sms ndefu Help me plz
0 Reactions
5 Replies
909 Views
Wakuu niliinstall mobizen with no root na narecord vizuri video zinaonekana lakini nikitaka kuziplay zinanitaka option ya player kama ilivo kwa video nyingine kwenye simu yangu TECNO P5 nina VLC...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna app nyingi hazipo kwenye playstore kwa mfano videoder, mobogine, ambazo unazikuta kule playastore mara nyingi zinakuwa ni za uongo Ukitaka kuzipata zile app kwa urahisi lazima uingie...
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Wadau, nashindwa kuzipa majina mapya baadhi ya links ambazo nataka zisome ninavyotaka mimi. nimeona sehemu fulani hapa mtu ame attach link lakini ameandika anavyoona yeye jina la link (heading)...
0 Reactions
2 Replies
816 Views
Wadau, Juzi nimenunua simu ya Sony v10, yenyewe hata pale juu inaonyesha tu 4G hivyo hata nikiweka bundle na kuconnect Internet sipati kitu, mtu mmoja aliniambia kuwa ni lazima niwasiliane na...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau nsaidie android nzuri zinaZouzwa chini ya laki moja Au laki moja yenyewe,,isizd lak moja
0 Reactions
25 Replies
11K Views
Habari wana JF, Naomba mwenye solution ya hii kitu ya apps ku stop na kuandika kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Apps zenyewe ni Adobe air Measure Android systeam Com.android.... Na nyingine...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Wadau wa jukwaa habari zenu. Nina pc yangu ya hp 630 ina gb 500 .Niliinunua mwaka 2012 . Sasa hii pc ilikuwa na rangi ya silver na kadri ya muda ulivyozidi kwenda rangi ikaanza kubanduka ama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
nina cm yangu aina ya LG G2 ina ji dowload application yenyewe na pia inazima na kujiwasha nimejaribu kui restore lakin tatizo bado lilo pale pale hivyo naomben ushaur jaman nitumie mbinu gan ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna laptop used nimeinunua 'dell precision' ina tatizo ambalo sijawahi kukutana nalo, ukiiweka kwenye chaji inachaji chaji inaingia polepole sana, yaani unaweza ukaspend masaa manne ikaingiza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Window XP internet gateway.iko disabled nikii enable kwa ku right click inagoma , nafanyaje wadau?
0 Reactions
0 Replies
587 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…