GPS navigation katika gari za bongo

GPS navigation katika gari za bongo

Jindal Singh

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2015
Posts
1,857
Reaction score
1,542
Shukrani wakuu,
Ninayo toyota Passo kutoka japan na nilitaka kuitumia gari hasa yaani system zote katika gari zifanye kazi lakini kuna hii kitu naona inaninyima raha sana. Hii gari imekuja na navigation system na juu ya dashboard kuna sensor gps sasa kinachoniboa mimi hii system inasoma ramani ya japan na si tanzania. Mwenye uwelewa au mtaalamu wa Navigation za magari, na magari mengi nishakutana nayo hii system non function.
 
we unataka ikwambie hapa manzese.kimara,tegeta. raman ya tz haitambuliki dunian
 
mimi naamini hivyo lazima gps itashika kila sehemu sasa wewe unaleta shit!
 
hakuna njia ya kuconect internet hata na wifi? ni kampuni gani hio yenye hizo ramani? pia ukileta jina la hio navigation system itakuwa rahisi zaidi.
 
hiyo kitu kwa bongo bado saana hayo ni mambo ya gps tz bado
 
hakuna njia ya kuconect internet hata na wifi? ni kampuni gani hio yenye hizo ramani? pia ukileta jina la hio navigation system itakuwa rahisi zaidi.

Nahisi tatizo liko hapo kwenye internet kama utaweza kupata device ya kuunga internet pamoja na hiyo GPS ya gari utafanikiwa. Maana kuna baadhi ya simu za mkononi ziko na hiyo system na unaweza ku-zoom hadi ukaona mtaa au nyumba ulikosimama
 
Hio kitu wamei "load" ramani ya Japan tu ndo maana huwezi kuona ramani ingine. Na sina uhakika kama iko locked or not kiasi cha kuweza kuweka ramani ya Tz (labda kwa wanaojua watasema). Ofcourse gps ingesaidia kutoa location ya ulipo kutokana na ramani unayotumia (iliokuwa loaded).
Kama unahutaji sana kuwa na hio navigation system, una option kama mbili au zaidi:
1. Kuna navigatiob system za kampuni iitwayo Garmin hiz unaweza ukazinunua(device) dukani na uwaambie wakuwekee kabisa ramani ya Tz ili uweze kuitumia kabisa. Hii ina gharama ya kununua na ramani pia baada ya kujisajili online n.k
2)Tumia google map ya simu yako au tablet. Hii inatoa mpaka voice guidance baada ya ku set destination(uendako). Hii utagharamikia data au internet bundle, na ujue inakula battery charge kwa kasi fulani.

Natumai imesaidia kiasi. Kila la kheri!
 
Asante kwa ufafanuzi mzuri
 
garmin inatumia ramani za nokia ambazo sasa hivi zinapatikana platform yoyote ya simu kuanzia android, ios hadi windows phone.

kama anataka kutumia simu kama ramani ni vyema adownload here maps toka store then adownload ramani za eneo husika (tanzania ni mb 56) halafu atatumia bila internet
 
Ahsanten wakuu nilikuwa sipo hewani, naona mlolongo mrefu bora nitumie hiyo ya simu, but hizo accesorry za gps hapa tz zapatikana wapi?
 
Hizo inbuilt navigation mara nyingi maps ziko loaded kiwandani kwa eneo ambapo gari itauzwa, na sidhani kama kuna mtengeneza ramani atakuwa teyari kuinvest katika kutengeneza ramani ya TZ maana haina faida kwake.

Here maps na Navigation ipo vizuri kwenye Windows Phone ishawahi kunielekeza sehemu nikafika tatizo bongo hakuna address za kueleweka na biashara nyingi haziweki location yao kwenye maps so inabidi utumie approximate location.
 
Ahsanten wakuu nilikuwa sipo hewani, naona mlolongo mrefu bora nitumie hiyo ya simu, but hizo accesorry za gps hapa tz zapatikana wapi?

ukiwa na simu huhitaji accessory nyengine tafuta simu ya bei rahisi yenye kioo kizuri udownload here maps, na kama still unataka garmin utaipata maduka ya vifaa vya watu wa survey au maduka ya acessory za gari na hata maduka makubwa ya vifaa vya computer.
 
Kwenye simu inatoa shida huku waendesha gari huku wacheki ramani dah ila ahsante kwa fafanuzi ila tz tupo nyumasana ktk tracking services.
 
hapana kuna mounting inakaa mbele ya gari
$_35.JPG
 
Chief hiyo ya app ya simu inaitwaje maana app nyingine hazisogei mpaka msogeze kwa mkon. Mi nataka inayotembia automatic yaani display itembee ifuate ramani halafu na hiyo stand tsh ngapi?
 
inaitwa here maps.

nenda store ya simu yako search neno HERE MAPS halafu idownload, here maps si kama app nyengine katika kila magari 5 yenye ramani manne yanatumia hizi ramani.
Route-and-Drive-S5.jpg

ili upate experience nzuri
-eka view iwe 45 degree angle
-download ramani ya Tanzania ili baadae uweze tumia offline, na kama siku unapata safari ya nje ya nchi download nchi unayoenda
-eka turn by turn navigation ili iwe inakueleza kwa sauti kuepuka kila mara kuangalia ramani
-ipo hadi lugha ya kiswahili kwenye turn by turn navigation

kuhusu mounting nimecheki kaymu zipo as cheap as shilingi 15,000
car mount | Kaymu
 
Back
Top Bottom