Kabelwa
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 684
- 201
Wadau ninaomba msaada kuna hii app ambayo inakuja na simu inayotoa menu ya mtandao unaotuma(sim toolkit)mfano kama laini ni ya tigo zinakuja Huduma za tigo bahati mbaya kwenye simu yangu imefutika baada ya kuroot sasa ninaweza kuirudisha kwa njia gani!