Usalama wa data kwenye Google Acounts

Usalama wa data kwenye Google Acounts

mtoto mdogo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
501
Reaction score
130
Habari za leo wakuu.
Ningependa kufahamu usalama wa data zinazohifadhiwa kwenye Google account kwa watumiaji wa simu za Android. Hawa watu hawawezi kuzitumia vibaya kweli mfano kwa hawa watu wakubwa/viongozi na maarufu?
 
Habari za leo wakuu.
ningependa kufahamu usalama wa data zinazohifadhiwa kwenye Google account kwa watumiaji wa simu za Android. Hawa watu hawawezi kuzitumia vibaya kweli mfano kwa hawa watu wakubwa/viongozi na maarufu?

Kama una mashaka hayo bora uache kutumia internet, ukweli ni kwamba chochote kile kilichopo kwenye cloud kinaweza kua manipulated, sio Google, sio NSA, Facebook wala nani, ndo how computers operate, wanaweza weka security kali sana ila kama tuseme government ya US inataka data zako kutoka kwenye email fulani, wakitaka wanazipata tu
 
kama we una data nyeti hivyo
1.android haikuhusu
2.tafuta NAS server yako mwenyewe
 
Kama una mashaka hayo bora uache kutumia internet, ukweli ni kwamba chochote kile kilichopo kwenye cloud kinaweza kua manipulated, sio Google, sio NSA, Facebook wala nani, ndo how computers operate, wanaweza weka security kali sana ila kama tuseme government ya US inataka data zako kutoka kwenye email fulani, wakitaka wanazipata tu
Aiseee kumbe ni hatari hivyo
 
Naomba maelezo ya hio namba mbili tafadhali

NAS (network attached storage) hii inakuwa ni storage yako mwenyewe kama vile google drive au one drive au dropbox lakini badala ya data zako kukaa marekani kwenye server zao zinakaa nyumbani kwako. unanunua kifaa hiki
1752_36.bmp

inakuwa ni kama desktop lakini ina sehemu nyingi za kuekea hard disk, hivyo unaunganisha simu za nyumba nzima kama kuna laptop nk backup za nyumba nzima zinakaa pamoja.

na kuna kitu kinaitwa RAID ( redundant array of independent disks) hii inakuwa hard disk nyingi zinaunganishwa kuwa kitu kimoja, hivyo hata ikitokea siku hdd yako moja imeharibika hutopoteza data zako

NAS yenye RAID ndio mpango mzima kama unataka watu wasi-spy data zako.

bei inategemea na idadi ya hdd unazotaka niliwahi ona moja kkoo ya single drive 120,000. ila pia unaweza geuza desktop kuwa NAS server kuna open source project za kufanyia hivyo
 
Usalama wa data ukoje endapo kikiibwa
 
Usalama wa data ukoje endapo kikiibwa

hapo itategemea na encryption iliotumika kwa zile za kulipia (ambayo umenunua dukani) encryption yake ni ngumu mwizi wa kawaida hataona kitu.

ila hizi za bure (za kutengeneza mwenyewe) itategemea na software ya NAS uliotumia au ujuzi wa huyo mtengenezaji
 
NAS (network attached storage) hii inakuwa ni storage yako mwenyewe kama vile google drive au one drive au dropbox lakini badala ya data zako kukaa marekani kwenye server zao zinakaa nyumbani kwako. unanunua kifaa hiki
1752_36.bmp

inakuwa ni kama desktop lakini ina sehemu nyingi za kuekea hard disk, hivyo unaunganisha simu za nyumba nzima kama kuna laptop nk backup za nyumba nzima zinakaa pamoja.

na kuna kitu kinaitwa RAID ( redundant array of independent disks) hii inakuwa hard disk nyingi zinaunganishwa kuwa kitu kimoja, hivyo hata ikitokea siku hdd yako moja imeharibika hutopoteza data zako

NAS yenye RAID ndio mpango mzima kama unataka watu wasi-spy data zako.

bei inategemea na idadi ya hdd unazotaka niliwahi ona moja kkoo ya single drive 120,000. ila pia unaweza geuza desktop kuwa NAS server kuna open source project za kufanyia hivyo
Broo naomba fafanua vema jinsi ya kuunganisha kati simu na nas.natanguliza shukran
 
kunakuwa na apps za kufanyia mambo hayo so inategemea na nas ipi unatumia.

pia file manager kama es file explorer inadetect automatic nas kama mpo same network.
 
how many ppl do u think use android in the world ,why would they be interested in your data in the first place if u start sleeping with kim kardashians then u can worry about your online security
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom