amoneyazan
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 698
- 473
Habari zenu wakuu
Nimejaribu Ku connect laptop kwenye printer lakinii haikuonyesha kitu
Nilivyouliza ndo nikaambiwa kua kuna drivers zinazotakiwa kuwa installed ili printer I function
Naombeni msaada wa jinsi ya kupata driver softwares na namna ya Ku install kwenye computer
PC nayo tumia ni accer
na printer ni LaserJet P1005
Thanks in advance