Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wakuu habari zenu....,! Simu yangu wakati nikimpigia mtu, mwanga hutoweka. Nilianza kuhisi labda shida ni protector lakini nilitoa na tatizo lipo palepale . Hii inaleta changamoto maana nashindwa...
1 Reactions
16 Replies
828 Views
Tabllet aina ya MPman kwenye kioo pembeni imeandikwa ARCHOS. Nilibadili kioo baada ya origal kuvunjika, fundi akaweka cha Itel company maana original havikuwepo madukani. Kasheshe Tablet imewaka...
0 Reactions
1 Replies
337 Views
JF wazima? Pata ujuzi kidogo nawe kama una maujanja ongeza wengi wetu tumejaza madishi nyumbani kwetu kwakutumia mfumo huu unaweza ukapunguza. Dishi 1 ft 6 unaweza kufunga LNB sita CBD-3 na KU-3...
31 Reactions
407 Replies
118K Views
nipeni maujanja wataalam maana mie haya mambo mashikolo mageni
0 Reactions
7 Replies
685 Views
Wakuu msaada, ulikuwa unafungua vizuri tu kwa ZTE Tablet lakini kuanzia wiki hii imeanza unagoma kabisa nikaona niombe msaada kwa watalam hapa, shida inakuwa nini wakuu?
0 Reactions
2 Replies
945 Views
Mtandao wa kijamii Threads hauna faida kwa watumiaji zaidi ya kuwapotezea muda, Meta ina haja ya kuufunga Idadi ya watumiaji wa mtandao huu inazidi kupungua kwa kasi kwasababu mwanzo walidhani ni...
3 Reactions
4 Replies
726 Views
Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi...
1 Reactions
0 Replies
439 Views
Nawezaje kudownload album za nyimbo
0 Reactions
0 Replies
197 Views
Kama umekuwa unakutana na hii page (katika picha hapo chini) kila unapofungua Microsoft applications (Ms word, Ms Excel etc) basi leo nitakuelekeza namna ya kuondoa hili tatizo, fuata hizi hatua...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Billions of subatomic particles race towards Earth, creating tiny black holes upon impact with the atmosphere, only to vanish within microseconds. To understand the composition of an actual black...
1 Reactions
1 Replies
350 Views
Wakuu habari za wakati huu PC yangu baada ya kupiga window naona haina sauti msaada pc ni Dell
0 Reactions
7 Replies
615 Views
Habari Wanajukwaa Kama lilivyo swali hapo juu, je naweza kupata saa itayonisaidia kunijuza umbali niliokimbia Kama zipo bei yake inasimamaje, na ipi itakuwa nzuri zaidi Ahsanteni
1 Reactions
14 Replies
698 Views
Kuna yeyote aliyewahi solve hii changamoto Laptop yangu aina dell inspiron 3576 Kila nikichomeka adapter haijazi battery inastuck hapo kwenye asilimia 0% Msaada wanajamvi
1 Reactions
10 Replies
455 Views
Habari, Kilicho nivutia humu ni umbo lake tu yaani ni slim bezel hata galaxy S10 plus bezel zake ni nene na bei yake pia ni 580,000 nimekuja humu mapema kabla sijajilipua na kama kuna chaguo...
1 Reactions
11 Replies
725 Views
Wakuu hili tatizo kwangu ni zaidi ya siku 5, ni hivi facebook haifunguki kwenye browser (chrome), nimefanya troubleshoot ya kila namna lakini wapi! Ila cha ajabu Airtel hata Halotel inafunguka...
0 Reactions
9 Replies
920 Views
Tasnia ya Tehama ni kipengele ambacho kina lipa na wala sio siri , Tatizo kubwa kwa mtu mmoja mmoja linakuja pale anapo gundua anatakiwa kuwekeza muda zaidi ili jambo flani kukaa sawa. Wakati...
0 Reactions
2 Replies
249 Views
Wakuu naomba kujua simu ipi nzuri kati ya Poco F6 na Xiaomi 13T overall? Pia simu hizi mbili ukizilinganisha na Samsung Galaxy A54 na One Plus Nord 3 ipi ni bora zaidi katika hizi nne? Priority...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Itumie simu yako ya Android kama rimoti ya TV Hivi unafahamu kuwa unaweza kuitumia simu yako ya Android kama rimoti (Remote Control) kwenye kifaa cha kielektoroniki chochote kile kitumiacho...
7 Reactions
35 Replies
9K Views
Hapa ndipo nilipo kwa sasa
21 Reactions
149 Replies
15K Views
Habarini wana JF Kuna changamoto nimepata nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash...
3 Reactions
51 Replies
2K Views
Back
Top Bottom