Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,211
- 30,784
Wakuu hili tatizo kwangu ni zaidi ya siku 5, ni hivi facebook haifunguki kwenye browser (chrome), nimefanya troubleshoot ya kila namna lakini wapi!
Ila cha ajabu Airtel hata Halotel inafunguka fresh, customer care nimewacheki wao wanadai ni tatizo la facebook wenyewe (najua hii ni nonsense), hawa customer care mara nyingi huwa hawajui wanachokifanya.
Sasa nataka nijua, kwa watumiaji wa browser pia mnapata hii changamoto? Je solution ni ipi? Nimejaribu mpaka kubadili dns lakini bado changamoto ilo pale pale.
Cc vodacom
View attachment 3030912