Habarini wana JF
Kuna changamoto nimepata nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida
Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash...
Mwanzo ilikuwa kioo hakina mwanga kinaonesha kwa mbali baada ya kubadilisha mara fundi anasema simu haiwaki na mapa sasa haiwaki shida inaweza kuwa nini
Salamu wakuu
Naomba kama kuna mtu anatumia gb whatsapp mpka leo anipatie link humu niidownload maana nikitumia ya kawaida naambiwa download the official whatsapp ijapokua ni ile ya kutoka play store
Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui.
Naombeni uzoefu wenu jamani.
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji kujua Smartphone iliyotengenezwa hivi karibuni, isipokuwa TECNO, INFINIX NA ITEL..
Ninahitaji kununua Smartphone mpya, Budget yangu 450k hadi...
Utangulizi wa java SOMO 1
Java
Ni lugha ya compyuta maarufu iliundwa mwaka 1995. Hadi sasa inamilikiwa na Oracle na inatumika ndani ya zaidi ya vifaa Billion tatu (3).
Java inatumika katika...
Somo 2
Java syntax
Kwenye somo lililopita tulitengeneza faili ya java Main.java na tulitumia code hapo chini ku print " Hello World".
public class Main{
public static void main( String [ ]...
Wakuu Heshima mbele.
Kama kichwa cha habari kinavyosema, hii simu nilinunuaga Zanzabar ikiwa vzuri. Nikawa naitumia muda mwingi na ipo kwenye umeme, baadae nikaona ukiitoa BETRI aikai na chaji...
Simu za Xiaomi zina features nyingi za kuvutia bila kupoteza muda naanza direct kuonesha features hizo
1. Hypercharging Ability
Xiaomi anatumia technology yake ya Xiaomi Hypercharging technology...
Wanajamvi nawasalimu ....
Katika pitapita zangu za utafutaji nitokea hapa kwa hawa jamaa PAYONEER wallet. Nimefungua akaunt vizuri ishu ikaanza kwenye kuverify document kati ya hizi
utility bill...
Anayefahamu namna kuset Auto Call recording kwenye Samsung A14 naomba anisaidie, simu yangu inagoma hata niki download App ya kurecord haifanyi kazi inasema nitumie Auto Call recording ya ndani ya...
kama kichwa cha uzi kinavyojieleza . nawakaribisha vijana wote wenye mawazo ya teknologia yabayoweza kua biashara au msaada kwa taifa ili yafanyiwe kazi.
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
Wenzetu jirani Kenya, Uganda, Rwanda wamestuka kwamba Technology is the future, hawana budget kubwa kama mbele ila si haba wanapambana wasipitwe sana, wanaandaa watoto shule za msingi kujifunza...
Naomba kujua maana hasa ya hii aina ya network na naitumiaje kwenye mazingira yangu?
Nina MySQL Database nataka kuiongezea ukubwa wa kuhifadhi data nikapewa ushauri nitumie hiyo SAN sasa...
Quantum physics
Hii ni mojawapo ya branch za physics tuh ambazo vinaelezea kuhusu vitu vingi mfano
Time travel
Worm holes
Time dilations
Light&gravity
Time travel
Ushawahi sikia mtu anatoka...
Mimi ni kijana wa miaka 14 ninaesoma kibasila secondary kidato Cha pili nimefanya utafiti huu nikiitaji maoni yenu naweza kuendelea na kama Kuna mtu anaweza kuendeleza ndoto yangu sitamwangusha...
Nielimisheni hii kitu sote tunajua tunaishi layer ya trotosphere 0-20 km na ndo kwenye hewa nzuri ya oxygen. Ndege za abiria zinakwenda stratosphere sasa ndege inatumia mfumo gani mpaka mnavuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.