Tablet haisomi baada ya kubadili kioo

Tablet haisomi baada ya kubadili kioo

Mtili wandu

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2012
Posts
10,500
Reaction score
15,162
Tabllet aina ya MPman kwenye kioo pembeni imeandikwa ARCHOS. Nilibadili kioo baada ya origal kuvunjika, fundi akaweka cha Itel company maana original havikuwepo madukani.

Kasheshe Tablet imewaka ila haisomi mtandao,wala haipokei simu kama zamani. Na kiingia mtandaoni inaandika Your dovice is offline.

Msaada jamani wajuzi wa hizi mambo chief-mkwawa
 
Back
Top Bottom