1. Security, iohone Ina security kubwa mno kiasi mtu akiiba itamchukua mda na gharama kuondoa security kwenye iphone. Tofauti na simu za android ambapo Kuna applications kibao kwa ajili ya kutoa...
Mota ya mashine ya alizeti inasumbua sasa nataka kuibadilisha nichukue ya mashine ambayo motor yake ina speed na mashine ya alizeti haiitaji speed.Nimeambiwa ninaweza kuitumia hiyo mota ya hiyo...
Nchi ya China imeendelea kuwekeza katika huduma za afya, hospitali kubwa zaidi ya Artificial intelligence ambayo inaweza kuhudumia wagonjwa 3000 Kwa siku, ambayo kwa kawaida Madaktari wanaweza...
Error. The account verification SMS could not be sent. Please try again later.
Naomba msaada kwenye hili wana JF.
Kila nikijaribu kufanya verification ya account yangu ya Instagram ili nipate...
Habar za asubuh wana jf...!
Kama kichwa cha habar kinavyojieleza, ndugu yenu natumia simu ya samsung A04
Hivi juzi nili restore sababu simu ilikuwa nzito sana hivyo nikaamua kufuta vitu vyote...
Habar za sahizi hivi CCTV camera hizi za cable kwa hapa bongo ni TSH ngapi maana camera yangu moja imealibika.
Nataka camera moja ambayo nitaireplace kwenye mfumo!
Kuna hizi windows za kudownload kutoka mitandaoni hususan kwenye torrents huwa zimekuwa cracked, pre activated na nyingine zipo modded
Ndizo windows ambazo wengi hutumia hapa bongo sababu kuu ni...
Kuna mteja alikuja kibandani kwangu akihitaji kutoa hela yake iliyokuwa imetumwa kwa njia ya sms kwenye simcard yake ya Vodacom, mimi kama wakala wa M-Pesa nikawa nimepata ugumu namna ya kumtolea...
Habari wanajamvi. Ni mimi tena. Leo tutaongelea mambo manne makuu ambayo yatatokea katika ukuaji na utumiaji wa AI (Akili bunifu/bandia/mnemba) nchini Tanzania.
Kama unajiuliza kuwa akili mnemba...
Nini maana ya AI?
Ni akili ya mashine au program kinyume na akili ya binadamu au wanyama. Kukua kwa sayansi na technology kimewezesha uvumbuzi wa vitu vingi sana.
Fikiria mtu anavyo zaliwa maana...
Elon Musk anasema akili ya bandia itachukua kazi zetu zote na hilo sio jambo baya. "Labda hakuna hata mmoja wetu atakayekuwa na kazi," Musk alisema kuhusu AI kwenye mkutano wa teknolojia mnamo...
Heloo hii project ni very simple na niliiunda kipindi najifunza PHP, ni system ambayo itatake user notes na kusave kwenye database, na kuzishow kwa user ina admin panel pia ina user information...
Utazamaji wa filamu wa sasa sio kama ule wa zamani ambapo unasimuliwa matukio kwa kutumia picha zinazosonga (movie) na sauti kwenye mifumo ya stereo ukiwa umeketi sebuleni au kwenye ukumbi wa...
Habari zenu wataalam km mlivyosoma heading maisha magumu tumejiajili online naomba msaada account ya fb iwe na followers tu iache friend requests maana nimebadilisha kuwa followers lakini maombi...
Wasalaam,
Kuna jamaa yangu alichukua simu ya mkopo (samsung galaxy A04), ambayo amekuwa akilipia kila baada ya wiki 1, na sasa amemaliza deni lote lakini cha ajabu baada ya malipo ya mwisho simu...
Habari zenu za majukumu.
Nimejifanya sana mjuaji ila kwa hizi device 2 zimenitoa ushamba.
Ni SAMSUNG A10S NA HUAWEI HONOR X6 Frp yake ni ngumu mno.
Hivyo kama uko na software ya kucrack au upo...