LEGE
JF-Expert Member
- Oct 14, 2011
- 5,122
- 9,223
wakuu nisiwachoshe sanaa.
naamini humu kuna wataalam mbali mbali na ikiwezekana kunaweza kukawa na hata watu waliowahi zitumia hizi TORCH kama ambavyo zinaitwa.
hapa namaanisha ni zile kamera za kunasa speed ambazo huwa zinatumiwa na trafic kurecord magari yanayokuwa speed zaidi.
swali langu ni jee hizi kamera zinafanyeje kazi mpaka zinanasa speed unayokuja nayo gari?? au zinawezaje kunasa peed ya gari??.ni techologia gani inayotumika?!
na je camera zile zinaweza hata nasa speed ya kitu kingine chochote kile??.