Msaada: Namna ya kutumia internet bure

Msaada: Namna ya kutumia internet bure

hakuna kitu kama hicho utalipia in one way or another,labda utumie zile za wizi ambazo unauziwa vpn 30000/ kwa mwezi unlimited na zenyewe sio bure
 
Pia nadhani kati ya voda au tigo kuna mmoja mwenye kutoa offer ya bure kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 2 asubuhi.
 
Mkuu nenda kwenye menu ya vifurushi vya mtandao unaotumia...

Manake hata vifurushi tunalipia ila wanasema;

"" Pata 1GB ya BURE kwa Tsh. 10000/=""
 
Kama unatumia Android Os, ingia google play na download internet.Org. Kisha tumia FACEBOOK, JamiiForums n.K bure ila kwa limit ya 100mb per day.
 
habar za mchana wakuu. Naomba mwenye msaada anifundishe namna ya kutumia internet bila malipo nataman sana maana hali ni ngumun kwa kweli.
Nimepitia thread zilizopita lakin sijafanikiwa.
Natanguliza shukran

inawezekana toka kale njia moja wapo ni hiii
 
Attachments

  • FREE.PNG
    FREE.PNG
    28.7 KB · Views: 619
Pia nadhani kati ya voda au tigo kuna mmoja mwenye kutoa offer ya bure kuanzia saa 12 alfajiri mpaka saa 2 asubuhi.

Mkuu hawa jamaa walikuwa na hii offer ila siku 2 hizi hata siioni nadhani watakuwa wamefanya maisha yawe magumu kiasi kwa kuiondoa hii offer.

Wamebakiza shilingi 300 tu kupiga na sms tigo kwenda tigo pekee kiongozi.
 
Kanikumbusha miaka ya 2007's kunalafiki yangu alibahatika kununua line ya tigo mpya hajaweka hata thumni ile laini sijui ilikosewa system aisee noma naona ilikuwa zaidi ya unlimited tulipiga mzigo karibia wa gb 10000 enzi zile zilikuwa zile nokia za bati harafu sijui g au 2g.
 
Mkuu yalinkuta haya na mimi pia, line tokea 2010 December Internet yangu ilikuwa free kabisa kwa line ya tigo aisee ilikuwa raha tupu miezi kama sita.. Baadae ikawa inatokea mara moja moja, wiki flani bure wiki nyingine lazima bundle ikaendelea hivyo mpaka tigo wakablock line yangu ndio nikaenda customer service wakanipa line nyingine..
 
nina lain ya tigo ambayo natmiaga sms bure na intanet bure huu ni mwaka wa pili wapendwa
 
tumia vifurushi vya usiku, bei rahisi tu
ok nimekupata ila mkuu umenikumb usha sulen toka 2012 nlikua najiachia na internet ya bure kwanzia sa 6 had sa 12 yan nlikua silali sema limeshafutwa na hamna tena cha bure
 
ok nimekupata ila mkuu umenikumb usha sulen toka 2012 nlikua najiachia na internet ya bure kwanzia sa 6 had sa 12 yan nlikua silali sema limeshafutwa na hamna tena cha bure

sio lazima ukeshe, jiunge kifurushi cha usiku panga downloads zako zote torrent au kama ni idm eka queue ikifika saa 6 ianze kudownload. connect modem halafu lala ukiamka asubuhi zimemaliza. mchana unakuwa unaperuzi tu.
 
Back
Top Bottom