Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,174
Wadau nikichukua video kwa simu yangu kwa dakika kumi tu, video hiyo itaonesha imechukua zaidi ya mb300 kwenye file.
Nahitaji app itakayoweza kugeuza hiyo video na kuifanya ichukue sehemu ndogo sana, let say mb 1,2 au hata 5 sio mbaya.
UncleUber, CHIEF MKWAWA, Njunwa Wamavoko, Mwl.RCT.

Last edited by a moderator: