Playstation Service

Playstation Service

TenHag Ball22

Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
39
Reaction score
3
Niliagiza Playstation 4 kutoka Walmart USA lakini imekuja na shida ya hdmi port coz nimetest na tv nyingi za hd na cable tofaut nimegoogle solution zimegoma, nimeona sony wamesema kwenye article moja kuna baadhi ya units zimekuja na hdmi port mbovu lakin ni rahisi kutengeneza kwa vifaa husika.
Naomba mnisaidie location au contact ya fundi wa playstation 4 dar es salaam au Morogoro aweze kuifix. Na nimeshaenda sony repair centre mikocheni lakini naona haipo active tena fundi karudi Philippines pia nimeenda mlimani city wamenielekeza niende kariakoo Anisuma pale wao wamesema hawadeal na model yangu,

So kwa anaejua fundi mwingine mwenye ujuzi w Playstation 4 adrop details hapo
 
Digital out(optical) aux na ya power hizo mbili nimegoogle ni za audio tu chief
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom