Cheki kupatana. Yupo jamaa anaziuza mbona....
Tusikariri maisha. Dunia ni ndogo mno toka mawasiliano yalivyokuja
Kama upo seriously unaetaka. Nitakupa mawasiliano.ya jamaa. Nicheki pm... jamaa hana duka anauza mkononi. Na warranty anatoa. Market yake kubwa ni kupatana. Na mnafanya biashara physically..... lol nimejikuta natoa promo without any payments of this ad. Cc Chief-Mkwawa. Kang
nimeenda kupatana nimekutana na honor 3c ambayo ni ya muda ndio maana nikakuomba link.
Mkuu hiyo ni sept. Embu cheki vizuri..... ningelikuonyesha ila net iko one bar... so slow. Ila na prefer utumie app yao. Itakuwa rahisi.mno ila kesho nitakuja kuonyesha na kukupa...... mawasiliano.
Kwani mkuu unataka uje ktk ufalme wetu wa android? Wp vipi?