CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 Nov 15, 2015 #1 Habari wana JF! Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku-scan smart phone. Simu yangu naona inani-alert kuwa kuna virus kwenye simu.
Habari wana JF! Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku-scan smart phone. Simu yangu naona inani-alert kuwa kuna virus kwenye simu.
A alet Member Joined Nov 18, 2014 Posts 81 Reaction score 62 Nov 15, 2015 #2 emwahaja25 said: Habari wana jf? Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku scan smart phone.simu yangu naona inani alart kuwa kuna virus kwenye simu. Click to expand... mimi ninayotumia inaitwa Clean master, nenda kwenye play store ya simu yako then search clean master jaribu huenda ikakusaidia kama mimi.
emwahaja25 said: Habari wana jf? Naomba msaada wa namna ya kudownload antivirus ya ku scan smart phone.simu yangu naona inani alart kuwa kuna virus kwenye simu. Click to expand... mimi ninayotumia inaitwa Clean master, nenda kwenye play store ya simu yako then search clean master jaribu huenda ikakusaidia kama mimi.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Nov 16, 2015 #3 Hizo ni ads( matangazo tu ya App ili udawnload App zao) mkuu zisikutishe.
CEYLON JF-Expert Member Joined Dec 3, 2012 Posts 314 Reaction score 151 Nov 16, 2015 Thread starter #4 Ahsante kwa ushauri