ku-root simu

ku-root simu

Di Ty

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2014
Posts
583
Reaction score
593
Habarini wakuu..

Samahani kwa usumbufu, Naomba mwenye uelewa kuhusu hiyo wanayoita ku"root" simu.

*Nini inamaanishwa watu wanaposema wana root simu, ie. nini Hasa maana yake halisi?

*Inafanyika kwa simu za aina gani?

*process nzima inaweza kuchukua muda gani mpaka kukamilika?


*Kama kuna additional points ningependelea kufahamu pia...

Thanks in Advance...
 
Back
Top Bottom