optimist JF-Expert Member Joined Sep 13, 2009 Posts 284 Reaction score 107 Nov 9, 2015 #1 Jamani wana JF naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewa tatizo nini?
Jamani wana JF naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewa tatizo nini?
cleokippo JF-Expert Member Joined Dec 21, 2014 Posts 2,144 Reaction score 1,849 Nov 9, 2015 #2 may be virus hao! sina uhakika xn lkn ngoja wataalam wengine nao waje! ulishajaribu kui restore?
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Nov 9, 2015 #3 optimist said: Jamani wana jf naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewavtatizo nini? Click to expand... Jaribu kuiroot hiyo simu hilo tatizo litaisha kwa kuremove hao virus
optimist said: Jamani wana jf naomba msaada wenu simu yangu kila nikizima data zinajiwasha au kuna nashindwa kuelewavtatizo nini? Click to expand... Jaribu kuiroot hiyo simu hilo tatizo litaisha kwa kuremove hao virus
Avatar JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 11,128 Reaction score 11,938 Nov 9, 2015 #4 Fanya ku-disable zile pop ups zote katika app manager.. hata yandu ilikua ivo ivo nikadisable
kambagasa JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 2,271 Reaction score 1,810 Nov 9, 2015 #5 Itakuwa simu nzuri sana hiyo. Kaa nayo tu itaacha baada ya mwezi mmoja wa uchaguzi.
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,237 Reaction score 12,659 Nov 16, 2015 #6 i flash tatizo litaisha