Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Simu yangu inasumbua baada yakuifanyia factory reset. Apps nyingi zinagoma kufanya kazi baada yakuzidownload na muda mwingine Google play store inastop ghafla. Simu yangu ni ITEL INOTE CHIEF...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Woke up this morning ,experimented with words "unafiki ni tunu ya taifa" Here are results courtsey google translate mobile edition: "Hypocrisy is a national treasure"....amazing a pretty accurate...
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Anayefahamu kama kichwa cha habari kilivyojieleza anisaidie tafadhali.
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Mwanasayansi Isack Newton katika uchunguzi wake alitengeneza sheria kuu tatu za mwendokasi nazo aliziita Newton's laws of motions tuangalie sheria hizi zina apply vipi katika maisha!! 1."Every...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habar zenu Wakuu!! Ni takriban wiki sasa tangu king'amuzi cha Azam kigome kuonyesha channel. Yaani iko hiv nikiwasha king'amuzi kinaleta channel list automatically then zinajirusha zenyewe bila...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naitwa aurelio chelestino mofuga. Nimehitimu kidato cha nne katika shule ya sekondari kitwiru ya iringa mjini. Nilipokuwa kidato cha tatu nilitengeneza system ya kompyuta kwa ajili ya kusomea...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Amani Iwe Juu yenu wakuu, I have developed a MATALAB GUI by GUIDE method and I want to deploy it into web page. It has been difficult for me despite of reading different articles. Now Am looking...
1 Reactions
0 Replies
634 Views
Na Amani ya bwana iwe pamoja nanyi, mie naomba msaada wa kuambiwa hata jina la software na upatikanaji wake. Hiyo software iwe na uwezo wa kufanya yafuatayo kutoa taarifa za mauzo ya siku...
0 Reactions
0 Replies
619 Views
We are looking for someone with good knowledge on either CakePHP or Yii PHP. We have one month project, if you are the right person and interested on this please contact us through...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau Naombeni mnisaidie nimenunua simu Mpya Sasa ntawezaje jua kama ni original
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wanajukwaa niwiki moja toka sm yangu ianze kushindwa kuifadhi Apps, ninapo kwenda kwenye play store nina sarch vizuri taab ni kuhifadhi inatafuta kwa mudamrefu mpaka nachoka, Lingine nikuwa App ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wadau nina mtandao wa kijamii unaoitwa Tanz-a-n-i-an\'s Social Network - Welcome to our free social network natafuta partener ambaye tunaweza Fanya kazi pamoja ili kuufanya uwe maarufu,huu mtandao...
1 Reactions
0 Replies
829 Views
Habari zenu nyote, nimekuja nikiomba kuuliza kwa hapa TANZANIA hasa DAR ES SALAAM ni wapi wanauza Playstation 4 na games zake pia. natanguliza shukrani. Ikiwa utanishauri niagize toka ebay/amazon...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
just got a used lenovo t500, when I switch it on I get two beeps and the following message: ERROR Resource Conflict - PCI in slot 07 Bus:15, Device :00, Function:00 ERROR Resource Conflict -...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Habari wanajanvi, Nina ultrasound model BU-908, kila nijaribu kuprinti inaleta message ya U-disk not ready. Mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu ,Naomba msaa wenu jamani nimekwama Ahsanten
0 Reactions
0 Replies
700 Views
Vp hawa nao www.teknokona.com
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajf Salaam!! Ninataka kununua laptop Hp nina kiasi cha Tsh 600,000/=. Je, kwa bei hiyo ninaweza kupata HP laptop Brand new? Pamoja na kazi ndogo ndogo za typing pia mimi ni msomaji sana...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
wakuu playstore imegoma kufunguka Kwa simu yangu s4. ..inaniandikia connections time out. .wakati internet inafunguka na iko 3G Ni mpya naomba msaada wenu plz
0 Reactions
9 Replies
1K Views
hii simu ni mpya...nimeitumia kama wiki moja tu, lakini inanipa notification ya software update...niki update kuna madhara yeyote na weza pata? Pia naomba kujua kama simu hii ina support 4G...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina ultrasound model BU-908 kila nikijaribu kuprint inaonyesha U-disk not ready, tatizo nini na naweza kulitatua vipi mwenye no. Ya fundi naomba Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…