mbeyaboyfrancy
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 248
- 91
Na simu yangu tecno H6 uwa nastream mpira live sasa nilikuwa nataka niunganishe kwenye tv yangu ya flat maana ina ports ya hdmi lakin simu haina port ya hdmi msaada tafadhari
ndio Unatakiwa ununue mini usb to hdmi converter
Mkuu kuna cable ya kutoa kwenye king'amuzi star times ambayo haina hdmi port, ikaunga tv thru hdmi port?
oooh bei zake uwa zinakuwaje mkubwa
Assuming hiyo Tecno H6 ina 'screen mirroring' function kwenye settings.Na simu yangu tecno H6 uwa nastream mpira live sasa nilikuwa nataka niunganishe kwenye tv yangu ya flat maana ina ports ya hdmi lakin simu haina port ya hdmi msaada tafadhari
Inawezekana ila inatakiwa iwe ni converter na sio cable tupu
Av to hdmi converter
Inawezekana ila inatakiwa iwe ni converter na sio cable tupu
Av to hdmi converter
Sijaelewa mahusiano ya hdd na hdmiVp ka nitatumi HDD, VP nayenyewe lazma iwe hdmi converter.
Sijaelewa mahusiano ya hdd na hdmi
Sorry, nilimanisha me natumia external drive kucheza nyinbo kwe led tv kwa usb port, nawezaje tumia hdmi?
sasa why utumie hdmi na sio usb port?
Kupata clear pics tu mkuu.
Kupata clear pics tu mkuu.
Ki vp sasa? Hebu ficha ushamba wako
Asante prof.kwa theory usb 2.0 ina speed 480mbps au 60MBps hivyo itaplay movie yoyote ile bila tatizo.
hata hizo 4k zitacheza
Mkuu we ndo ungekua na utaalam wa Chief-Mkwawa tungekunywa maji kweli!