Kufuta mafaili yaliyofichwa

Kufuta mafaili yaliyofichwa

IamError_D

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
441
Reaction score
117
Wataalamu naombeni msaada

PC yangu imekula capacity kubwa kwenye hdd ya w10 igawa si kawaida yake na uwa ninaacha space 20GB kabla haijawa full. Kuna mafail nlyoweka nina uwakika haiwezi kujaza hivi ila nahisi kuna mengine yamefichwa bila mtumiaji kujua yako wapi yalipofichwa. Juzi nilifactory reset baada ya kupata tatizo kama hili.

Leo asubuhi nilikuwa
30GB free of 70GB

Saivi inasomeka
3GB free of 70GB [Local Disk C]

Nyingine kwenye Local Disk D ipo kama nilivyoacha
100GB of 380GB

Kwasasa nataka kujua nitawezaje kufuta mafaili yaliyofichwa
 
Back
Top Bottom