Sehemu ya kuwekea line kwenye sumsung tab3 ipo wapi?

Sehemu ya kuwekea line kwenye sumsung tab3 ipo wapi?

mwalimumzalendo1

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,098
Reaction score
407
habar za jion!
naomba kuelekezwa sehemu ya kuweka line kwenye sumsung galax tab3 maana betry yake haitoki n
 
Ni tablet 3 gani mkuu Chief-Mkwawa IPO tablet 3 ina options ya SIM card slot tablet 3 inch 7 I think
 
Last edited by a moderator:
Ni tablet 3 gani mkuu Chief-Mkwawa IPO tablet 3 ina options ya SIM card slot tablet 3 inch 7 I think

tablet nyingi za samsung zinakuwa na version ya wifi na inayoingia line.

mfano ipo tab 3, 7 inch ambayo ni wifi tupu na ipo inayoingia line
 
Last edited by a moderator:
tablet nyingi za samsung zinakuwa na version ya wifi na inayoingia line.



mfano ipo tab 3, 7 inch ambayo ni wifi tupu na ipo inayoingia line


Yeah ndio maana nikamuuliza tablet 3 ipi ameshindwa Tu kidadavua vizur
 
Nenda you tube katafute utaona maelekezo yote
 
Back
Top Bottom