Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nina nokia Asha311 lakini kila nikiplay video youtube inaniambia no response try again ilo tatizo limeanza hivi karibuni mwenye kujua tatizo anisaidie.
0 Reactions
0 Replies
876 Views
hey guys, je ushawahi kucheza game za chemshabongo(kichangamsha akili)? , sasa leo rafiki yangu kanionyesha hizi apps nikaona ni vyema nishee na marafiki ili tuweze kufaidika wote , kiukweli...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba msaada wa website nnayoweza kudownlodia free movies.tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wataalamu simu yangu nimecrack screen yake kuna muda nikishusha notification bar inaleta weupe ss tatizo ni screen au kuna jingine nisaidieni wataalamu
0 Reactions
0 Replies
725 Views
Modern yangu inatumia line zote ila inansumbua kila nki connect internet kila baada y dakika 15 ina ji disconnect. Naombeni msaada wenu jamani.!!
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Wakuu habari Nina tablet ya tecno 8h inarun Android 5 nahitaji kuroot njia ipi ni rahisi
0 Reactions
0 Replies
911 Views
Wadau JF naomba kujua kwa hapa Morogoro wapi naweza kupata wi-fi ya kulipia yenye spidi ya kasi yenye uwezo wa ku-download kama 3GB file kwa dakika 15. Msaada tafadhali
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Na simu yangu tecno H6 uwa nastream mpira live sasa nilikuwa nataka niunganishe kwenye tv yangu ya flat maana ina ports ya hdmi lakin simu haina port ya hdmi msaada tafadhari
0 Reactions
20 Replies
19K Views
Naombeni msaada wa jinsi ya kuset 3g kwa mtandao wa airtel, nimeperuzi katika internet ila sijafanikiwa kupata jibu sahihi
0 Reactions
29 Replies
7K Views
Kuna baadhi ya watu hasa vijana wakisoma kuhusu computer kidogo tu basi atakuja kwenye maneno kama virus au spyware ( sikuhizi ) , ukitoka kwenye hayo atakuja katika hacking , cracking na...
2 Reactions
24 Replies
6K Views
Msaada au maelekezo ya namna ya kufufua flash iliyokufa ( haisomi ) storage yake ni 16Gb. Mwenye ujuzi tafadhali
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wataalamu naombeni msaada PC yangu imekula capacity kubwa kwenye hdd ya w10 igawa si kawaida yake na uwa ninaacha space 20GB kabla haijawa full. Kuna mafail nlyoweka nina uwakika haiwezi kujaza...
0 Reactions
0 Replies
942 Views
Kuna hili swala nimeliona kwenye mitandao wasanii wa bongo wawili watatu sometime back account zao zilikua hacked na mtu anonymous akaanza kupost ujinga. Wengi wanaoingiliwa account zao ni...
8 Reactions
16 Replies
5K Views
Amani kwenu wana jamii forums.Nina simu aina ya tecno,sasa kinacho nisumnisumbua imeanza kama wiki mbili sasa,kila nikiwa naitumia katika masuala ya internet.Inaweza tokea mara mambo ya cm...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na kupotea kwa satellite ya Amos 5 mwishoni mwa mwezi uliopita, Kampuni ya Continental Media imeamua kusubiri hadi Spacecom (ambao ndio wamiliki wa amos) watapopata malipo ya bima ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Huwa natumia whatsapp ikiwezeshwa na internet kutoka tigo kupiga simu ndani na nje ya nchi. Ingawa lengo hasa ni nje ya nchi. Kuanzia leo whatsapp imegoma kufanya huduma hizo naambiwa network...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini JF membaz! Kama kichwa cha habari tajwa hapo juu nawezaje simujanja yangu kuilazimisha kuwa mfumo wa 2G,3G na 4G? na kwa simujanja yoyote ile? PEN-DOWN.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Niaje Wakuu Kama Una Akaunti ya Adsense Iliyokuwa Verfied tayari ya Euro Tufanye Biashara Fasta PM Tufanye Biashara.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wale wanaouuza au kusaidia bure facebook groups za UK,USA nk naomba tuwasiliane naitaji kama 200 hivi. Ni PM tuongee. asante
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…