Ndugu wana JF Msaada wa tablet nilinunua kwa MTU ninayo kwa takribani wiki tatu Leo imezima yenyewe na nimejaribu kuichaji haioneshi Dalili hata ya kuwaka. Msaada tafadhali
Kuna process gani ili kuwa wakala wa kuuza umeme wa Tanesco. Hapa siongelei kuwa kama wakala wa MaxMalipo, Selcom au buttonpay bali naongelea kuwa wakala wa Tanesco kama MaxMalipo Buttonpay...
Wanajamvi,
Mimi nimekuwa nikitatizwa na vitu viwili kwenye simu;
(1) Yeyote anayefahamu jinsi ya kutambua simu inayoendana na mfumo wa 4G naomba anijuze ni kwa namna gani naweza kuitambua?
(2)...
Kilio na ombi hili hiki navipeleka kwa shirika la TANESCO.
Mimi natumia umeme wa LUKU na ninasafiri sana.
Wakati mwingine safari hizi hunichukua hata mwezi mzima kabla ya kurudi nyumbani...
Natanguliza shukrani
Toshiba satellite c50-A534
Windows 7 professional
Hili tatizo lina kama wiki mbili ivi nadhani limeanza baada ya Windows update .
Kila nikiwasha inakaa kama saa moja au...
Habari zenu wakuu,
Ninahitaji kuchapisha stickers kubwa kwa ajili ya kubandika kwenye magari ya biashara ili yawe yanatangaza biashara yangu yawapo barabarani (ni magari madogo mawili yaani Noah...
Heshima kwenu wakuu waJF..!
Plz naomba kujuzwa gari hizi zina ukubwa wa Pistons ngapi @..?
Je, ni vitu gani vinaweza kumsaidia mtu kujua idadi ya Pistons ktk gari fulani..?
a. Toyota Voxy...
Habarini wakuu...,
Ni wapi naweza kupata mashine ndogo ya kutoa copy(photocopier) kwa bei nafuu??
Hiyo mashine iwe;
*Inatoa copy pande mbili
*Inafanya kazi kwa haraka
*Isiwe na scanner.(kwa...
Hello guys..
Naomba kuuliza,
Katika technology ya kileo kuna uwezekano wowote wa kubadirisha video zilizo katika mfumo wa VHS (yaan ile mikanda ya kizamani) kwenda katka mfumo wa CD au DvD...?
Habari za leo waungwana! Kama kichwa cha habari kijielezavyo hapo juu, nahitaji msaada wa mwenye kujua kama kuna teknojia ya kubadilisha video zilizomo katika tape za VHS na kwenda katika DVD...